Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Louis Mfede, Francois Omam Biyik, Andrew Kana Biyiki, Benjamin Masing, Silily Makanak, Emmanuel Kunde, Nkono, Roger Miller.
Nakumbuka siku Muargentina anaambaa na mpira uoande wa kulia akapigwa kiatu na watu wawili Andrew k Biyik akapata red card.
Mkuu unanikumbusha mbali sana, nakumbuka jinsi Roger Milla alivyomnyang'anya mpira golkipa wa Colombia Rene Higuita na kutupia, kisha kwenda kukata mauno kwenye kibendera
 
Sasa unataka sisi tufanyeje mkuu?
Hapa ni likes tu mengine haya jukwaa la siasa linahusika....

Ila ingefaa polisi wakawaacha watu wapige hela bana...
Au we unaonaje?
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…