carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji30][emoji30][emoji30]Carba ni mvumilivu sana... Lasivyo...

[emoji185]Rudi hapa
Ndo nini kuniwekea kivuli[emoji185]
This is critical bro....Be proud of who you are
SweetheartRight here[emoji445][emoji445]
Juliana
Kimya kimya tu huoni kuna watu wanasoma post hizi unawapigia keleleSasa wataka nisikize nyimbo za misiba dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiboko (Hippopotamus amphibius) ni mamalia mkubwa wa familia ya Hippopotamidae. Nyumbani kwake ni bara la Afrika.
Huishi kwenye maji ya mito na maziwa lakini ana uwezo wa kutembea kwenye nchi kavu mbali na maji. Chakula chake ni majani.

Mwenzio Yego kaitikia muda mreeeefu... Wewe waja saa hizi? Mpira raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu anipe Nini mimi