Kimo cha mbegani kinafikia mita 1.5 na urefu wake hadi mita 4.5. Uzito wake ni kati ya kilogramu 2700 na 4500 kg. Hivyo kiboko inashindana na kifaru juu ya cheo cha kuwa mnyama mzito wa pili kwenye nchi kavu baada ya tembo.
Akikimbia hufikia mwendo wa kilomita 48 kwa saa ingawa kwa muda mdogo tu.
Lala tu naona unaogopa giza dogoNgoja tu nikalale[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Andaeitiniiiiiiii.....Wewe endelea kucheza mpira kwa mazoea, ukitumia mbinu za enzi za akina Kibadeni! Sisi tunapiga kwa ile formation ya akina Neymar, Cavani na Mmbappe! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kimo cha mbegani kinafikia mita 1.5 na urefu wake hadi mita 4.5. Uzito wake ni kati ya kilogramu 2700 na 4500 kg. Hivyo kiboko inashindana na kifaru juu ya cheo cha kuwa mnyama mzito wa pili kwenye nchi kavu baada ya tembo.
Akikimbia hufikia mwendo wa kilomita 48 kwa saa ingawa kwa muda mdogo tu.
Kimo cha mbegani kinafikia mita 1.5 na urefu wake hadi mita 4.5. Uzito wake ni kati ya kilogramu 2700 na 4500 kg. Hivyo kiboko inashindana na kifaru juu ya cheo cha kuwa mnyama mzito wa pili kwenye nchi kavu baada ya tembo.
Akikimbia hufikia mwendo wa kilomita 48 kwa saa ingawa kwa muda mdogo tu.
Buzitata....
Mzee hatari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ho chi minh Alana na elimu ya karanga mbichi, mihogo, nazi,....