Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wewe ni shida sana humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa... Nimenyoosha mikono, wewe ni CHIBOKO! [emoji23][emoji23][emoji23]
Vunjwa zamaaaanii huko...Lasivyo nini we mzee
Ila yanaukweli ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamadongo lakini khaa!
Hata sijui nilikua namaanisha nini.... Mweeee!!!!Sikutegemea[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu nirud kulala[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mnisamehe bure, hisia ya huruma kwa binti ilitawala...Mzee wa Tukuyu yaani dah! Lala salama shemeji....