Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinyonga ni kiumbe aliye katika kikundi cha mijusi (mfano: Mamba, Kenge, mjusi mwenyewe) ambaye ana uwezo wa kubadilisha rangi yake na kuzungusha macho yake kwa mizunguko tofauti, tofauti na wanyama wengine kwamba macho huzunguka kwa kufuatana, Lakini kinyonga na uwezo wa kuzungusha kila jicho upande wake.
 
Katika hali ya kawaida, ngozi yake iliyo rafu (rough skin) ni ya kijani iliyochanganyika na hudhurungi iliyofifia. Katika hali ya hofu na uwoga rangi yake hubadilika na kuwa kijani iliyoiva. Hubadilika rangi hiyo kuwa hudhurungi au manjano iliyofifia katika hali ya njaa, joto la chini na jua kali.
 
Kinyonga ana rangi gani?
Kinyonga ana uwezo wa kubadilisha rangi yake haraka sana. Kiumbe huyu anaweza kuwa kijani, njano au mweupe kwa wakati mmoja na kuwa wa hudhurungi au mweusi muda unaofuata. Vilevile wanaweza kuwa na madoa. Rangi ya kinyonga hudhibitiwa na kuendeshwa na kemikali za mwilini mwake zinazojulikana kama homoni.
 
Wengi hudhani ya kwamba kinyonga hubadilisha rangi yake na kufanana na mazingira aliyokuwepo ili kujificha kutokana na adui zake. Hata hivyo hii si kweli, kinyonga hubadilisha rangi yake kutokana na hali ya joto au kiasi cha mwanga anachokipata, ingawa wanyama wengi hubadilisha rangi kutokana na matakwa yao.
 
Ngozi ya kinyonga ni angavu (transparent). Kinyonga ana seli ndani ya ngozi yake ambayo imebeba pigments (dutu za asili zinazodhibiti rangi ya tishu katika wanyama). Pale pigment ya seli fulani inapoongezeka rangi na nyingine kupungua, kinyonga hubadilika rangi kwa mfano, kama pigment za seli nyeusi zitapungua na za njano kuongezeka basi atabadilika kutoka katika weusi na kuwa wa njano.
 
Takriban aina 90 ya vinyonga wanajulikana. Sanasana hupatikana Afrika, Hispania, Madagascar, India na Sri Lanka.

Tofauti na mijusi wengine, kinyonga hayuko bapa na pia mkia wake ni tofauti na mijusi wengine kama vile mamba, kenge n.k. urefu wa baadhi ya mikia ya aina ya vinyonga hufikia inchi 4. Aina kubwa kabisa ya kinyonga, aliyegundulika Afrika ya Mashariki anafikia takriban urefu wa Futi mbili (60 cm).
 
Mkia wake unaweza kuzungushwa kama mfano wa Spring. Macho yake makubwa yanaweza kuzungushwa huku na kule kwa mwendo tofauti kila jicho au kwa kufuatana. Ana ulimi ambao una uwezo wa kukamata wadudu kwa kasi kubwa kama chakula chake.
 
Nyegere, melesi au mhilu (Mellivora capensis) ni mnyama mdogo wa familia Mustelidae anayetokea Afrika, Mashariki ya Kati naUhindi.
Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Ni wachimbaji wazuri sana. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngumu humsaidia sana kwenye kazi hii. Hata kama ardhi ni ngumu sana, ana uwezo wa kuchimba shimo linalomtosha kujificha katika kipindi kinachokadiriwa kuwa ni dakika kumi tu.
 
NYEGERE (Honey burger) a.k.a "The fearless animal" TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua,
 
nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake (ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii. Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya Ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k
 
nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake (ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii. Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya Ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k
 
kwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,katika guines world book of records yeye ndio the most fearless creature on the planet mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mambo yake. Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe
 
Ashawahi kukutwa akipigana na simba na hata tembo na vifaru katika nyakati tofauti. Ni mvivu katika maswala ya nyumba yake hivyo basi anapojisikia uvivu hujilaza sehemu yoyote inayomfaa..ishaonekana akiwa kajiliza katika pango la mbwa mwitu kama kwake. Wanapatikana India,Kusini magharibi barani Asia na Afrika.
 
Nyegere ama Honey badger ni miongoni mwa wanyama hatari zaidi duniani, kwa tarifa yako tu hata nyoka, chui na simba huufyata kwa Nyegere.

Nyegere ndio mmoja kati ya wanyama wasioogopa kitu chochote duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda. Na yeye hategemei mob kwani ni mmoja wa wanyama wanaotembea kivyake wakati wote isipokuwa wakati wa kupandana tu
 
1. Nyegere ana gozi gumu zaidi kuliko haywani wte wa mwituni kiasi ambacho ni ngumu sana kumuua kwa mshale au hata panga, gozi la mnyama huyu linafanua sindano ya nyuki kudunda tu....anasaidiwa kucha zake, ndefu na ngumu awapo katika hatari ya kushambuliwa ngozi yake huwa ngumu na kukakamaa zaidi ("defensive mechanism)
 
Back
Top Bottom