Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyegere hula vyote iwe nyama iwe majani na hii imemfanya kustahili shuruba za mazingira yote iwe nyikani ama mwituni. Chakula chake kikubwa ni asali, yeye hupanda juu ya mzinga wa asali na kuujambia, baada ya mashuzi yake nyuki wote hulewa na yeye kupakua asali na masega yake na kula.
 
sahihi...
 
Nyegere hula nyoka wa aina yoyote, ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi ingawa wapo nyoka wenye sumu ambao Nyegere akiwala anaweza kuzimia kwa msaa kadhaa kutokana na ukali wa sumu ambayo inakuua wewe kwa dakika tu
 
3.Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa dunianikwani ana wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari, maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike.
 
Wivu wa Nyegere hufanya awachukie sana binadamu wanaume, mwanaume ukiwa porini ukakutana na Nyegere akiwa na jike lake jiandae kupata kibano, huona wivu kuwa utamtamani jike, hivyo hukimbilia kumvamia mwanaume sehemu za siri akiamini ndizo zinazokupa jeuri ya kumtamani jike lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…