Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

watu wakiwa wachache ni sawa..ila kuna anaposti kumi ila haja'likes hata moja ya wengine..
Hapo umesema wengi mno. Ndo maana nimeona kama malalamiko tu sababu charity begins at home. Chapa likes kisha lalamika inakua poa sio mtu analalamika kuna post haina hata like reeaally yaan badala ya kuichapa like moja ndio msemo uje wa post ina like moja tu.

Huwa nashukuru hata nikipata moja si mbaya.
 
powa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…