Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c0411674ba7ef0a809c4218a464226d1.jpg
NDIO MALENGO YA UZI, MTU HATAKI MANAKE HATAKI HUU UZI
 
Mimi sikimbizani na mtu. Napiga zangu tu mchaka mchaka kidogo kidogo. Ningekuwa nakimbizana na mtu si ajabu ningeshapita njia za mkato kitambo - numbers and the like. Naamini katika kuweka vitu vyenye angalau kafunzo fulani au burudani na utani. Na nimejifunza mambo mengi sana hapa pamoja na kupata marafiki kama wewe.

Huwezi amini lakini hapa nipo najaribu tiba mojawapo ya Dkt Numbisa (Siyo milonge) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TUNAPEANA LIKES KAMA JAMBO LA KWAZA
TUNAPEANA ELIMU KAMA JAMBO LA PILI
TUNAPATA BURUDANI NA KADHALIKA
hata wanaotetea wanajua huwezi kwenda uzi wa mapenzi ukaweka siasa..au mapishi ukaweka mapezi. burudani iwepo na likes ziwepo sana
 
Back
Top Bottom