Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c0411674ba7ef0a809c4218a464226d1.jpg
 
Acheni kulalamika. Likes zipo. Leo siku ya kazi sio kila mtu anashinda humu.

Siku hazilingani wakuu.
Kumbe tunalalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama siku ya kazi na watu hawashindi humu, mbona posts zipo uzi unatembea lakini likes hakuna? Nyuma huko 4 hrs, 2 hrs, 1 hr mwenyewe umeweka posts kibao lakini hazina likes ...

Tuko watatu hapa. Mimi, Myoya na Mzee wa Liver. Kazi yetu ni kuhamasisha kila tunapoona likes zimeanza kupungua. Na hii kazi hatujaianza leo au jana....

Usitukatishe tamaa bana !!! [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Kumbe tunalalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama siku ya kazi mbona posts zipo uzi unatembea lakini likes hakuna. Nyuma huko 4 hrs, 2 hrs, 1 hr mwenyewe umeweka posts kibao lakini hazina likes ...

Tuko watatu hapa. Mimi, Myoya na Mzee wa Liver. Kazi yetu ni kuhamasisha kila tunapoona likes zimeanza kupungua. Na hii kazi hatujaianza leo au jana....

Usitukatishe tamaa bana !!! [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Mkuu habari za Leo
Ni kweli Mimi uwa napita hata 19 hrs ago naanza kugonga likes unakuta kweli post zingine hazina likes kabisa
 
Back
Top Bottom