myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mpe 'likes nae akupe
Wakuu, mmeanza tena tabia yenu ya kutotoa likes (za kutosha). 1 & 2 hrs huku nyuma kuna posts hazina likes au sana sana kalike kamoja au tuwili. Why?
BILA LIKES UZI HUU HAUNA MAANA YO YOTE. UTAKUWA SAWA NA NYUZI ZINGINE TU
Me too baby. Siku yako inaendeleaje? Mungu Aendelee kukubariki....I love you[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Waangalie Wakerewe. Mwangalie Andaeitiini. Mtoto mdogo lakini utafikiri ana PhD ya kuvamia mazizi ya watu na kuyaharibu tena bila huruma wala woga. Mwangalie Mzee wa Liver. Mfalme Aliyejishindia ufalme kilaiiini baada ya kuukamata moyo wa Malkia. Bingwa wa Forex na Think Tank ya makamanda...
Inasemekana Ukerewe ndiyo kuna maprofesa na Phd holders wengi per square mile kuliko sehemu nyingine Tanzania. Sababu haijulikani ila samaki wanatajwa tajwa sana.