Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

That's why I decided to fight for our love [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
5de4d2f9f48c86e403531857fd49b3ca.jpg
I love you[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
 
consumption and mental health. At the 2006 Nutrition and Health Conference sponsored by the University of Arizona’s College of Medicine and Columbia University’s College of Physicians and Surgeons, Dr. Hibbeln cited a study showing that violence in a British prison dropped by 37 percent after omega-3 oils and vitamins were added to the prisoners’ diets.
 
Tumbili - Ni mnyama wa jamii ya nyani mwenye rangi ya kijivu isiyokoza, baka jekundu nyuma na mkia mrefu.

Sifa Kuu mbili za mnyama Tumbili:

Tumbili ni mnyama anayejifanya mwerevu sana kuliko wanyama wengine wote mule msituni. Sifa kuu za Tumbili ni mbili tu
1. Uvivu - mnyama huyu hajishughulishi kabisa kutafuta kazi ya kujipatia riski yake msituni, kazi yake ni kupiga soga akisubiri wenzake watafute ale.

2. Wizi - Mnyama huyu kwa sababu ya uvivu wake hapo juu , njaa ikimpata basi huvizia mashambani ya watu na kuanza kuiba vyakula.
 
5: NYOKA: Huyu huwa anapenda kujificha kwenye nyasi na huruka ghafla na kung'ata. Wapo watu wenye tabia kama za nyoka, Mara nyingi huwa wanakaa kimya kwa muda mrefu wakati jamii fulani ikiwa inashiriki kufanya jambo, lakini endapo wakisema jambo moja tu huaribu kila kitu kinachoendelea.
 
6: KOBE: Huyu upenda kujiingiza ndani ya nyumba yake endapo mazingira hayapo shwari, na hujitoa anapohisi hali imekua shwari nje. Wapo watu watabia kama za kobe, hupenda kujitoa kwenye jamii ama kundi endapo kuna matatizo, hawatoi mchango wowote ule, kama wa mawazo, pengine wangependa jamii isifahamu kama wapo ndani ya hiyo jamii ili wasisumbuliwe kabisa.
 
7: TEMBO: Anatabia ya kuangusha miti barabarani, na kuzui njia ili chochote kisipite hadi atakapo amua yeye. Wapo Ndugu zetu wenye hizi tabia, wanakua wasumbumbufu, wababe huzuia kundi kuendelea na shuguli zake kufikia malengo yaliyopangwa.
 
DUMA.
Hakuna anayekimbia kwa kasi zaidi yake: duma wanaweza kufikia kasi ya hadi kilomita 120 kwa saa. Ni jambo linaloendana na mazowea yao ya kuwinda. Wanyama hao huwinda mchana, ambapo wanamnyemelea mnyama mwingine na kisha kukimbia kwa kasi na
kumkamata kwa kushtukiza. Hata hivyo hawawezi kukimbia kwa muda mrefu na hivyo wasipomkamata swala baada ya mita kama mia moja wanakata tamaa.
 
TAI.
Hakuna anayepaa juu zaidi yake: Mwaka 1973 ndege wa aina hiyo aligongana na ndege ya kubeba abiria iliyokuwa ikiruka mita 11,200 juu ya usawa wa bahari. Aina nyingine za ndege zinaweza kupaa kufikia mita 100 hadi 2,000 tu. Lakini wapo pia ndege wanaolazimika kusafiri umbali mrefu hali ya hewa ikibadilika na hao wakati mwingine hupaa mita 9,000 angani. Kwa mfano wakivuka milima ya Himalaya.
 
SWALA"Pronghorn" Hakuna anayekimbia kwa muda mrefu kama yeye: Pronghorn wanafikisha kasi kati ya kilomita 60 hadi 70 kwa saa na wanaweza kukimbia umbali wa kilom
ita tano. Mwili wao umezoea kukimbia mwendo mrefu kwa sababu moyo wao kwa mfano una ukubwa mara mbili ya ule wa kondoo. Faida yake ni kwamba wanaweza kuwakimbia wanyama wengine wanaotaka kuwakamata
 
MBUNI
Hakuna ndege anayekimbia kwa kasi zaidi yake: Kwake si tatizo kukimbia kwa kasi ya kilomita 70 kwa saa. Anaweza kukimbia kwa nusu saa kwa kasi ya kilomita 50 kwa saa. Ana miguu mirefu na misuli inayofaa kwa kukimbia. Mbuni ni ndege pekee mwenye vidole viwili tu miguuni. Lakini licha ya kuwa na mabawa makubwa, mbuni hawezi kupaa kwa sababu ya uzito wake.
 
PUMA.
Hakuna anayeruka juu zaidi: Licha ya kuwa na uzito wa zaidi ya kilo 50, puma wanaweza kuruka juu urefu wa mita tano na nusu na kurukia mti. Urefu huo unaweka rekodi kwa wanyama wanaonyonya na waishio ardhini. Pomboo ni samaki pekee anayeruka juu zaidi kwani yeye anafikia mita saba.
 
Back
Top Bottom