Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hasa akiwa na Consuela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alibakari hii inamfaa sana
Hasa akiwa na Consuela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alibakari hii inamfaa sana
Tayari mkuu
Kwema mkuuKwema humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzio Yego kaitikia muda mreeeefu... Wewe waja saa hizi? Mpira raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kawaidaSHIMBA YA BUYENZE
Kichwa kichafu
Mzee wa Liver
Like ziendelee
Ulanzi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajua mambo ya zamani tena deep kabisa. Si ajabu mhenga mwenzetu huyu anatuzuga tu. Hata mi nshaanza kumshtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Andaeitin hana sifa za ben ten jamaa anaongelea topic ambazo zilikuwepo hata sijazaliwa,huyu ni zilipendwa mwenzetu kwenye koti la andaeitin
Kweli kabisa nilikuwa nimekosea.Capri point,maeneo ya benk ya BOT
Bandar gani unaiongelea? Au ukifika steshen ya tren ulizia ofisi za saanane au hotel tilapia utaonyeshwa
Hiyo formation umeonaAndaeitiniiiiiiii.....
Kweli tupu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Vyakula vingine vyenye Omega 3
Vyanzo mbalimbali vya habari duniani vimewahi kuripoti kuwa wapo samaki ambao si wazuri sana kuwatumia kwani wana sumu aina ya mercury kwa sababu ya machafuko ya kimazingira, hivyo unaweza pia ukapata Omega 3 kutoka kwenye mayai, mkate, juisi, mboga za majani, canola, alizeti, mafuta ya samaki na vyakula jamii ya mbegu.
Kama utapenda kumeza vidonge vya Omega 3 uhakikishe kwamba havijatengenezwa na maini ya samaki kwani hizi zina asilimia kubwa ya retinol Vitamin A, ambayo imegundulika kusababisha madhara kwa watoto.
Omega 3 iliyotengenezwa kutoka kwa nyama ya samaki na siyo maini ni bora zaidi. Kama huna uhakika ni bora kununua vidonge maalumu vya Omega 3 vilivyotengenezwa kwa ajili ya wajawazito
Mkuu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu gani yupo bize na EPL utadhani analipwa mshahara? Endelea kuitunza mama, utaja pewa zawadi mwisho
Usikimbie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuitunza?
Sijui hata nawaza nini hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jibapa au VAT 69 hiyo inaongea !!!Mkuu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]