Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
NDEGE mdogo "Hummingbird"
Hakuna aliye mdogo zaidi: Jamii nyingi za ndege wa hummingbird ni wadogo sana na ndio wanaoshikilia rekodi ya kuwa ndege wadogo zaidi duniani. Wana urefu wa sentimita sita tu na uzito wa gramu mbili. Wakiwa wanapaa, mabawa yao yanapiga mara 40 hadi 50 kwa sekunde.