Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe tunalalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama siku ya kazi na watu hawashindi humu, mbona posts zipo uzi unatembea lakini likes hakuna? Nyuma huko 4 hrs, 2 hrs, 1 hr mwenyewe umeweka posts kibao lakini hazina likes ...

Tuko watatu hapa. Mimi, Myoya na Mzee wa Liver. Kazi yetu ni kuhamasisha kila tunapoona likes zimeanza kupungua. Na hii kazi hatujaianza leo au jana....

Usitukatishe tamaa bana !!! [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hahahahaa huu ndo ukweli bana. Likes zipo tu ukikosa plan A kuwa na plan B

Hizo post zilizokosa likes wala hazinipi mawazo maana kama kuboost messages zimeshasaidia nasonga mbele kumfata Ruta upande wa pili anapotawala JF nzima.
 
Unamkimbiza mzee Rutta[emoji3] [emoji3] [emoji3] Fanya hivyo kwa faida yako na maslahi ya uzi wetu unaotukutanisha watu wa mataifa mbali mbali.
 
Hahahahaa huu ndo ukweli bana. Likes zipo tu ukikosa plan A kuwa na plan B

Hizo post zilizokosa likes wala hazinipi mawazo maana kama kuboost messages zimeshasaidia nasonga mbele kumfata Ruta upande wa pili anapotawala JF nzima.
Mimi nitaendelea kukumbushia tu (aka kulalamika) kila ninapohisi mambo hayaendi sawa. I hope na wenzangu wataendelea kufanya hivyo. Sijaanza leo wala jana kufanya hivyo na sijui kwa nini leo imekuwa nongwaaaa
 
Back
Top Bottom