Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
fulness
fulness
Kula like kwanza hafu nasema asnteLyrics: Karubandika - Orchestra Maquis Original
"Karubandika" from the album "Karubandika"
By Orchestra Maquis Original
Kama wewe ungenipenda
Kwa nini kunidanganya bwana wee
Kujibandika madaraka sio yako bwana wewe
Nimesikia tetesi kuwa huna lolote hata kazi huna eeh
Unazurura mchana kutwa eeh
Kupita kurandaranda mitaani
Kumbe hukuwa na uwezo wa kunioa ila kuniharibia maisha
Heri kuniambia, ukweli ulivyo kuliko kunidanganya
Nikuelewe vipi eh
Babu eh
Uaminifu wako uko wapi eh
Papa
Usinione pweke baba
Usinione pweke baba
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Duuu nitakualika kwa idd uwe mgen wanguKutamanishana huku, na karibu
Kula like endelea kusambaza likeWatu wamechoka toa like naona [emoji3][emoji3][emoji3]
Unatembea..
Like hizo asante sana mamaNilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie
Kumbe bwana yule
Hana kitanda wala shuka
Pa kulala hana
Analala kwenye stendi ya basi
Pa kulala hana
Anakesha kwenye kituo cha punda
Karubandika yoyo
Acha vituko wee baba
Usinione pweke baba
Usinione pweke baba
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Akiingia kwenye baa
Kazi yake kuomba bia
Akiingia kwenye baa
Kazi yake kuomba bia
Hana hata aibu eh
Sigara pia anaomba
Mitaani na kwenye mastovu
Hujitangazia kuwa yeye
Ni mkurugenzi wa kampuni fulani oh
Kumbe sivyo hivyo
Usinione pweke baba
Usinione pweke baba
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Hihihihihi(harmorapa voic)Hahahaha
[emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ugomvi huuu
Ukiona vimeundwa....
Kama kawaidaNa badoooo !
Hata nisipoona post yako nitakuja PM angalau nione avatar yako nirizikeNikikosa kukuona kwa muda wa siku moja tu sina raha jamn ooh hata iwe usiku wa manane ntakuja kwenu
[emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ugomvi huuu
Ukiona vimeundwa....
tunasaau shida za kutwa