Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Golden boyZamoyoni Mogela
Nilikuwa nataka nikuite ujueHiyo ilikuwa ya nsamaka bana! [emoji23][emoji23]
Karudi kwakweliNaona amerudi
Homa ya jijiMakumbi Juma
Na wewe waogopa[emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi ningependa sana kumsaidia kuuguza, lakini daa, mzee hataki nisogelee nyumba yake
Acha kabisa last game mmecheza jihad balaa mpka nimewakubaliKwema kabisa
hata mimi nimewamiss sana humu
mzee wa liver hahahah
vibonde wanakusumbua sana
Siyo vizuri ufanyavyo[emoji3] [emoji3]Yegomasika mletee mgonjwa zile cupcakes basi[emoji23]
Mzee wa zamaHahahaha, mkuu nawe umekenua[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Abdalah kibadeni kingJuma Mkambi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ati nini?
PoleUshanibatiza jina tena[emoji30][emoji30]
Jirani yako mpenzi hajambo