mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yupo yupo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi SHIMBA YA BUYENZE
Yupo yupo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi SHIMBA YA BUYENZE
hahahahaAfadhali ungekwama huko huko Mogadishu tu kwa kweli. Nilianzisha mpaka harakati za kukuombea hapa. Aaaargh !!!!
Unahangaika[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]sijui hata nimewaza nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha imekuwa whatsappCole Williams left
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Zama za Drive in Cinema. Leo mnaita ubarozi wa Marekani. mnaenda kuangalia sinema za bureZama za Avalon cinema
Mbwa wa Ulaya ana nafuu kuliko mtoto wa Afrika ....Indeed
Hebu muache jakitoo ya buyenze alale bhana[emoji23][emoji23]Biashara asubuhi, jioni mtu unahesabu chenji tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Byutiful
AmenUkiamka kesho nitakuwa Kiboroloni tayari. Sijavunja ahadi. Lala salama binti mwema. Nitakulinda. Nitakupigania. Mrembo wa kizazi chetu [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
hahahahaKukaona tu jibapa na kasichana vimeenda bure... Ezi ifu nimekunywa fanta orange mbili..
Aaaaaa!!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] carba!!!!!Anabaki kulalama tu hapa mara ooh zizi langu lina uzio wa mchicha,mfyuuuu zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo ini lishaiva [emoji23][emoji23]Kukaona tu jibapa na kasichana vimeenda bure... Ezi ifu nimekunywa fanta orange mbili..
Yaani shemeji wewe. Unaandago denjarazi metamofosisi hivi hivi laivu nakuona kabisa. Ai niidi Carba wangu wa zamani pulizi. Ai kanti bilivu zis [emoji23][emoji23][emoji23]
Zama zile, ikija picha mpya kwanza inapelekwa Empire, kisha Avalon, baadaye Empress, kisha chox. Ikichokwa inapelekwa drive in cinemaZama za Avalon cinema
Nilisahau et Bob12 ile zawadi yangu ya mabomu iko wapi nataka nilipue watu humuBob karudi hile zawadi mbona kimya umesahau nini uliagiza nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Temeke mbagala tabu Tupu