Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila fitna huyu dogo atasumbua sana
Teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Anabaki kulalama tu hapa mara ooh zizi langu lina uzio wa mchicha,mfyuuuu zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Lala salamaOohooo msukuma huyooo...
Usiku mwema wakuu
Hahahha acha mkwaraNimesema kakijileta kweli basi msikose kutazama tivii taarifa ya habari ya kesho asubuhi.
Usalama mdogo SanaJe hata zizi la Cole halina usalama?
Aiseeeh!Polee, me sio kama hao hata ..
Hahahha hatari sana nyie watuKwani hawa sirii idioti hatuwezi kuwapoteza tukabaki salama? (yegomasika, moudgulf na Bob12)
Ni kutia fitna tu, tuna wa ho chi minh mmoja baada ya mmoja...
Duu mwifa ni njemba!!!? Tafadhalini sanaKweli kabisa,njemba miraba minne na six pack za ukweli
Lete hiyo storiAmenikumbusha stori ya binti aliyekua anamtosa mwanaume anayetaka kumuoa na kuangukia kwa wahuni
Amekukomesha
Umefurahi eeeh[emoji23]Teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona sauti yake...jamaniKweli kabisa,njemba miraba minne na six pack za ukweli
Usingizi umegoma??Hahahha acha mkwara