Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu, uko deep sana na haya mambo. Safi sana!Kweli anakimbiza.
Nilikuwa namfuatilia kwa haraka haraka ameshachukua Tuzo Tisini na Tatu (93) kwa ujumla mpaka hivi sasa tunavyoongea.
Na kila kwenye kinyang'anyiro na karibia kila Mwaka lazima anyakue Tuzo zaidi ya Moja.
Rekodi yake hakuna aliewahi kumfikia, na ndie Mmarekani Mweusi wa kwanza kunyakua Tuzo nyingi na mwenye Rekodi ya kipekee.
Huyu MwanaMama anatisha sana.
Ahsante sana Kiongozi
Huyu jamaa hapa kushoto anatest zali ama?
Gym nikafanye nini? Six pack na pesa ni kipi kinapendwa zaidi na mabinti? Jiongeze !!!
Don't change the topic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani uko mjanja mjanjaaa in everything!!!Hahaa... You're screwed bro! You need to cut down your trips to Macdonald! Big Mac hazimuachi mtu salama! [emoji23][emoji23][emoji23]
Don't change the topic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana yake