Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Good vibes only .......
Ni wazuri japo siyo wabunifu sana; na muvi zao nyingi ziko limited in scope and context hata hadhira !!! Sasa kuna huyu mama anaitwa Viola Davis anakimbiza balaa. Mwaka jana nadhani alishinda Oscar !!!Boyz N the Hood.
Poetic Justice.
Friday.
Enemy of the State.
How Stella got her groove back.
Down to Earth.
Higher Learning.
A thin line between Love and Hate.
This Christmas.
Our Family Wedding.
Na Filamu nyinginezo nyingi.
Upande wa Filamu huyu Bibie namkubali sana.
Kuna huyu Bibie REGINA KING, na kuna yule mwenzake wa kuitwa NIA LONG.
Kwenye Tasnia ya Filamu, hawa Mabibie wakali sana
Yegooooooo !!!Come rain come sun, I will always be available whenever you need me! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yegooooooo !!!
Kajakitoo leo hakajapata insomuniya?
We dogo kiboko.
Carba tayari ushampata. Cole hana chake tena. Sad and painful !!!
Chura anaruka ruka....
![]()
Tena na makucha yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha! [emoji23][emoji23][emoji23]
Gym nikafanye nini? Six pack na pesa ni kipi kinapendwa zaidi na mabinti? Jiongeze !!!Ninakalia timing ka jakitoo sasa hivi! Hizi ndizo saa za usingizi kukata! Sasa na wewe bado uko humu tu, si uende gym sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Ni wazuri japo siyo wabunifu sana; na muvi zao nyingi ziko limited in scope and context hata hadhira !!! Sasa kuna huyu mama anaitwa Viola Davis anakimbiza balaa. Mwaka jana nadhani alishinda Oscar !!!
![]()