carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mwache aangalie ipielo bhana,starehe ile ujueDogo apunguze ipielo...
Mwache aangalie ipielo bhana,starehe ile ujueDogo apunguze ipielo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaaniii hovyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Al Shabab hoooooovyooooo !!!
[emoji30][emoji30][emoji30]Ndio vileee
Na wewe umezidi... Kwani hauwezi kujenga zizi lako? Umekuwa nyoka kufukuza wenyeji?Ujumbe wa mtu mwingine, mara wewe huyoo ushaudakua! [emoji848][emoji848][emoji848]
HahahahahaIsije ikawa umetoa nguo kweli shemeji. Haka Kakerewe haka mh !!!
I'm left to[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kila kitu nimeona. Ni zaidi ya dharau kutoka kwa chasuguHahahahaha andjul kuja uone hapa
Hahahahahamana dakika za mwisho alikua anamfukuzia balaa
Breaking newsNipo shemeji. Nimeshakakaribisha haka katoto. Mkikaona kwenye tivii taarifa ya habari msishangae !!!
WhyHakuna zizi lililosalama humu ndani