Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Never mind

3860c4939c18099c7a701226c9cd1283.jpg
Never mind
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Supu ni kitoweo kilicho katika hali ya majimaji chenye michanganyiko tofauti ya vyakula. Supu yaweza kuwa ya rangi au ladha yeyote kutegemea na matakwa binafsi. Mara nyingi supu huwa nyepesi na si yenye mabonge mabonge au vipande vya vyakula. Vipande vidogo vidogo vyaweza kuonekana iwapo wakati wa matayarisho, chakulainisha(blender) hakikuwepo.
 
Supu moto huchukua nafasi ya chai mahala penye baridi au supu baridi mahali penye joto badala ya vinywaji baridi kama soda au maji ya matunda.
Karibu aina zote za vyakula zaweza kutumika kutengeza supu. Ukianzia na vyakula vyenye asili ya wanyama (Mfano nyama na samaki), vyenye asili ya mimea Mfano matembele, bamia, mchicha, bilinganya na vinavyo fa nana na hivyo na vyakula vitokanavyo na mbegu za mimea mbalimbali mfano karanga, korosho, ufuta n.k.
 
Asilimia kubwa ya supu ni za chumvi chumvi, ni nadra sana kupata supu zenye ladha ya sukari.
Supu yaweza kunywewa mwanzoni au mwishoni mwa chakula kulingana na matashi yamtu. Kama supu inaywewa asubuhi ni bora ikanywewa kabla ya mlo ikichukua nafasi ya chai. Na kama nijioni ni vyema supu ikanywewa baada ya chakula kama kiburudisho.
 
Back
Top Bottom