Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-18-21-35-40.png
 
UHIFADHI

HII NDO SEHEMU MUHIMU SANA. ISOME KWA UMAKINI ZAIDI TAFADHALI.

Kutokana na kupungua kwa idadi ya minde hapa nchini, wanyama hawa waliingizwa rasmi na IUCN katika kundi la wanyama ambao wapo hatarini kutoweka duniani. IUCN ni shirika la umoja wa mataifa linalo jihusisha na uhifadhi maumbile asili duniani na husaidia sana katika kuhakikisha maumbile asili yanabaki kama yalivyokuwa (IUCN kirefu chake ni INTERNATIONAL UNION FOR CONSERVATION OF NATURE)
 
Back
Top Bottom