moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ukizaliwa mwanaume ndio ujue kila kitu ni tabu
Ukizaliwa mwanaume ndio ujue kila kitu ni tabu
Kyanga songaSafari sio kifo
Namshukuru Mungu me mzima wa afya kabisa[emoji120][emoji120]Jamani hata kusabahi, tusisabahi? Hujambo lakini weye? Tunamtakia speedy recovery nsamaka jamani! [emoji23][emoji23][emoji23]
RipSuleman Mbwembwe
Christian sheggyEddy Sheggy
Kisa cha mpembaJirani
Buguruni-Gongo la mboto mwisho wa lamiZama za kupanda chai maharage
RipShaban Dede
KafarikiWanted
Issa kihangeZama za CDA Dodoma, Daniel Poka, Adolf Kondo, Yusuf Ambwene, Justin Simfukwe, ...hizo ni zama
[emoji3] [emoji3] [emoji3] yegomasika anaboa sana[emoji3] [emoji3]Kama kawaida yako na vimaua vya malavu lavu...
Kasaloo kyangaKyanga songa
Nimecheka hadi nimelia dah hahahhaah-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo
KuolewaJirani
Buguruni sheli -Ubungo mizani. Enzi hizo magari yanapimia uzito Ubungo karibu na jengo la TANESCOZama za kupanda chai maharage
ComputerSeleman Mwanyiro