Hahahhah jamani kweli andaeitini wa enzi hizo ana kazi sana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] yegomasika anaboa sana[emoji3] [emoji3]
Hahahhah jamani kweli andaeitini wa enzi hizo ana kazi sana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] yegomasika anaboa sana[emoji3] [emoji3]
Kwa nini mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] yegomasika anaboa sana[emoji3] [emoji3]
Hamza kalala komandooKalala mbwembwe
Kida waziriAsia Daruwesh
Form 2Hahaha 1984 ulikuwa darasa la ngapi
Lwiza mbutuKida Waziri
Zilipendwa.Zama zetu si zama zenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekulia uswhilini[emoji3] [emoji3] nenda ukamsalimie shemeji yako carbamazapene
Zama kweliJ.k.t muungano taalab
MuonganoT.o.t taalab
HahahaZama za mshahara kwa mhindi ni sh 30,000....
Elfu kumi na tano unalamba tarehe 15 iliyobaki mwisho wa mwezi
Shikamoo bibi[emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahaha kwa mara ya kwanza nilifaulu kwenda advance enzi hizo shule za serikali zilikuwa bado zia hadhi kubwa nilisfiri kwa gari moshi. Dah halafu nikafika usiku balaa yaan sitasahau,ila watu walikuwa bado wana utu those days. Baada ya kufika stesheni niliowakuta walinipeleka hadi shule na vifaa vyangu.
Hahahahaha
Endelea kumpendaJaman carba nampenda kulikoni wote tumetoka mbali eehe nampenda kulikoni wote