Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-18-19-13-51.png
 
Zama za gari moshi from kigoma to dar, pasina usafiri wa aina nyingine
Hahaha kwa mara ya kwanza nilifaulu kwenda advance enzi hizo shule za serikali zilikuwa bado zia hadhi kubwa nilisfiri kwa gari moshi. Dah halafu nikafika usiku balaa yaan sitasahau,ila watu walikuwa bado wana utu those days. Baada ya kufika stesheni niliowakuta walinipeleka hadi shule na vifaa vyangu.
 
Back
Top Bottom