Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
OKSidhani kama kuna mtu aliyewahesabu wote na kupata idadi kamili. Ni makadirio tu mkuu. Hata hiyo namba hapo unaweza kuisogeza ikawa milioni 7
Kule natoa yangu ya moyoni halafu nasepaTena uje utupe statistics kamili za uzi huu. Kwema mkuu?
Siasa kule hasa hapa katikati kumekuwa na mihemko sana yaani mapovu balaa kidogo tu usipokuwa sawa unalimwa ban. Na mods yaani hawachezi kabisaaaa...
Ndo ushapatia sababu eeh[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yuko sawa kabisaHuyu Greyson Komba huyu naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu Greyson Komba huyu naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wana visaNenda tu kajionee mambo ya jf
Eti mtu anachukia uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh
Mambo ya siasaKijana ushatoka kifungoni
Pole sana na karibu uraiani tena
Pole sana Mwenye Enzi Mungu aendelee kukupa ulinziNaendelea vzr kiasi, nimepata vipimo majibu kesho
Wivu huoNdo ushapatia sababu eeh[emoji23][emoji23]
AminaWaungwana wazee wa likes
Habarini ya leo
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine