Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ugali siyo uji
carba upoo poaa?Salama kabisa,sijui huko
Nashukuru [emoji120][emoji120]
Kuukana upumbavu ni kuulizaKuuliza ni kuukana upumbavu
Ndo ushapatia sababu eeh[emoji23][emoji23]
Leo nimepata nafasi kuanzia mida hii, nataka nibaki hapa mpaka mida ileee>>Poa mkuu salamu zimefika hila hata Mimi nilibanwa sana Leo lakini tupo pamoja sasa mpka mida ya wanga
Pamoja hapa hakuna mashindano just likes kucheka kufurahia maisha bhanaMzee Ruta hakamatiki. Ameshavunja rekodi kadhaa hapa JF. Uhai na heshima ya uzi wetu !!!
Aifichue tuTrump adai UN kuna ubadhirifu
Mia miaMimi sikimbizani na mtu. Napiga zangu tu mchaka mchaka kidogo kidogo. Ningekuwa nakimbizana na mtu si ajabu ningeshapita njia za mkato kitambo - numbers and the like. Naamini katika kuweka vitu vyenye angalau kafunzo fulani au burudani na utani. Na nimejifunza mambo mengi sana hapa pamoja na kupata marafiki kama wewe.
Huwezi amini lakini hapa nipo najaribu tiba mojawapo ya Dkt Numbisa (Siyo milonge) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuukiri ujinga ni kuulizaKuuliza ni kuukiri ujinga
Niko poa kabisacarba upoo poaa?
WhyUsiseme sina kwani una Mungu
Wahenga walisema "Kazi ni kipimo cha utu"Kazi ni mhimu
MifisiUsiringe wakati una mipaka
DaimaKabisa na utadumu tu
Mia miauko sawa mkuu