mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kupeana taarifa ni muhimu likes kwa kila postMimi nitaendelea kukumbushia tu (aka kulalamika) kila ninapohisi mambo hayaendi sawa. I hope na wenzangu wataendelea kufanya hivyo. Sijaanza leo wala jana kufanya hivyo na sijui kwa nini leo imekuwa nongwaaaa