mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Mimi sina PhD wala shule sijaendaWaangalie Wakerewe. Mwangalie Andaeitiini. Mtoto mdogo lakini utafikiri ana PhD ya kuvamia mazizi ya watu na kuyaharibu tena bila huruma wala woga. Mwangalie Mzee wa Liver. Mfalme Aliyejishindia ufalme kilaiiini baada ya kuukamata moyo wa Malkia. Bingwa wa Forex na Think Tank ya makamanda...
Inasemekana Ukerewe ndiyo kuna maprofesa na Phd holders wengi per square mile kuliko sehemu nyingine Tanzania. Sababu haijulikani ila samaki wanatajwa tajwa sana.