mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tupo mkuuWadau mpoo
Tupo mkuuWadau mpoo
Kama kawaidaMwendo mdundo
ManeLukaku
18:1613:50
Safi mkui mambo niajeRafiki wapenzi habari zenu
Hahahahaha safi sana wakuu wametuwakilishaRafiki zangu, nimetembea tembea huko, nimekuta kizabi zabina mmoja anaushambulia uzi wetu huu. hata hivyo nimefarijika saana, maana nikakuta wenzangu numbisa, jembekillo na carbamazepine wanapambana naye vilivyo.heshima kwenu
18:1714:30
Habari zake zimeniogopesha sana kama hakuna anachohofia si simba ,chui ,nyoka binadamu ndio kabisaaaaNyegere ni mnyama hatari sana.
Anapenda kuvamia Mizinga ya nyuki na kula asali yote
AminaHata mimi nimeuona, nimetupiamo kajiwe kamoja.
Tulinde uzi wetu usichafuliwe na wahuni
18:2014:44
Chemical formula yetulikes ziwekwe kwenye posti