mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yap yapisiposti na kukimbia
Yap yapisiposti na kukimbia
Yap yapwapende wenzako wanaoweka likes kwako
Nimepita huko nimefukia mashimo yoteWakuu, mmeanza tena tabia yenu ya kutotoa likes (za kutosha). 1 & 2 hrs huku nyuma kuna posts hazina likes au sana sana kalike kamoja au tuwili. Why?
BILA LIKES UZI HUU HAUNA MAANA YO YOTE. UTAKUWA SAWA NA NYUZI ZINGINE TU
![]()
Yapuzi ni wetu wote
Kwa kila postlikes yako ni muhimu kwa mwenzako...
Bila kusahau elimutukumbuke lengo la uzi..
likes
stori
vifurahisho
Lete habari zakeBlack mamba ni moja ya nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu Mashariki na Kusini mwa Afrika. Black mamba anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.
Poa mkuuZa wanalikes zikoje