andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu kwema? Pilika pilika ni nyingi ajabu...Habari yako mwana liver mwenzangu, ukimuona nsamaka na mzee andjul waambie nawasalim. Majukumu yamebana kidogo bro
Mkuu kwema? Pilika pilika ni nyingi ajabu...Habari yako mwana liver mwenzangu, ukimuona nsamaka na mzee andjul waambie nawasalim. Majukumu yamebana kidogo bro
Asante drpamoja kwamba samaki ndio chakula chake kikuu lakini hupendelea sana kula pweza na fisi maji. POMBOO ANA SIFA ZAKE ZA KUSTAAJABISHA 1. Ni samaki lakini anazaa na kunyonyesha. 2. Pamoja na huzaa kwake lakini anapozaa huanza kumtoa mtoto mkia na si kichwa. 3. Ana kasi kubwa sana majini. 4. Hupendelea kucheza muda mwingi 5. Mdomoni ana meno yapatayo 100 6. Wana namna yao ya kuwasiliana kwa lugha tena kwa sauti. 7.ni kiumbe mpole na mwenye akili sana URAFIKI WAKE NA MWANADAMU UKOJE SASA ? NI ngumu sana kwa viumbe kukuta wana urafiki baina ya wanyama ya makundi tofauti mfano hakuna urafiki baina ya carnivores na herbivorous !
DuWalioliweza hili ni mamba na kiboko tuu, lakini hapa anajitokeza jamaa yetu POMBOO, huwezi kufa maji kama jamaa huyu anakuona unatapatapa ni samaki mwokozi kabisa, lakini pia huwezi kuzuliwa na samaki wakali kama papa, POMBOO akakuacha watakurinda kwa hali na mali. Inapotokea umedumbukia majini na akakuona haraka sana hukufikia, kisha atakukumbatia na kwa spidi kubwa atakuwa anakupeleka nchi kavu, atakapofika Jilani atakachokifanya ni kukurusha huko sasa msaada wake huwa unaishia hapo, ukitua kwenye jiwe, mwamba,michongoma, mtini shauri yako yeye kazi yake ashamaliza, pole utapewa na wengine huko. Upo ushahidi pia kuonesha ya kwamba samaki POMBOO ashasaidia watu katika mazira mbambali kama hayo,
Hahaha USAmpaka papa huyo alipoondoka kwa hasira, POMBOO wakamaliza kazi kwa kumrudisha nahodha huyo katika chombo chake kisha wao wakaendelea na mambo yao. #KWA_TAARIFA_YAKO 1. POMBOO ndiye mnyama mwenye akili kuliko wote baada ya binadamu. 2. Kwa lugha yetu ya kiswahili POMBOO sio jina maarufu na hata nisingekutajia kwa kingereza kwamba ndiye samaki aitwaye [HASHTAG]#Dolphin[/HASHTAG] ungebaki kujiuliza tuu huyu POMBOO ndio nani ? 3. Wanasayansi walibaini ya kwamba samaki POMBOO wanatambua ala za mziki na wakiusikia wanaweza kabisa kuucheza, na kuna kipindi kuna mipango ilianza kuwafungia sound za mziki wa blues ili waweze kuzaliana zaidi. 4. POMBOO ni samaki anayelindwa na umoja wa mataifa hivyo chunga sana matamanio yako, usijemuona pwani ya bongo ukamvua kudhani ni Mali ya nchi yako, utakuja kubebwa na jet za waamerika jioni ya siku hiyo hiyo.
Wazungu na fitna zao zote hapa wamechemkaChuma cha pua
Jambo mkuuJambo tz
Hii logic Mimi napingajumatatu watu hawatabasam mpaka saa tano..
Habari yako mkuu, mi kwema sema majukumu yamebana sana.Mkuu kwema? Pilika pilika ni nyingi ajabu...
Jamani acheni kumlisha mzee maneno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapambane na hali zaoNyuzi 3 ninazozichukia hapa JF
Wazee wa likes mnachukiwa huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee hatari sana huyuNYEGERE (Honey burger) a.k.a "The fearless animal" TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua,
Hapa ndipo utakapoona tamaa ya mwanadamu inavyomgharimu
Aisee huyu ni hatari sanakwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,katika guines world book of records yeye ndio the most fearless creature on the planet mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mambo yake. Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe
AMUN RA12:49
AMUN RA12:49
Huyu akipita kwenye Shamba langu naomba jani liguse jike lake nakuta kalima Shamba lote kwa hasira zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]3.Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa dunianikwani ana wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari, maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike.
Hapo ndipo pabayaWivu wa Nyegere hufanya awachukie sana binadamu wanaume, mwanaume ukiwa porini ukakutana na Nyegere akiwa na jike lake jiandae kupata kibano, huona wivu kuwa utamtamani jike, hivyo hukimbilia kumvamia mwanaume sehemu za siri akiamini ndizo zinazokupa jeuri ya kumtamani jike lake.
Wakekila jambo na wakati
Wakekila jambo na wakati
18:1512:58