Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Imagine kuwa mpo hapo wawili tu...Nekedi...Veri byutifuli
Imagine kuwa mpo hapo wawili tu...Nekedi...Veri byutifuli
Likely VegasNice
Muda wa kifo ukifika hakuna mjadalaKweli mkuu. Hata kifo naamini kina ufumbuzi wake!
Nakutafuta we bibieHi guys, miss you all.
Mimi?Mh, nakuvutia kasi tu. Nasikia siku hznaitana shemeji
Ndio jumatatu ilivyoJumatatu iko salama japokuwa inabore
Msalimie shemeji yanguVeri byutifuli
kweliLakini sio lugha chafu wala picha chafu
Nipo mpenzi nimejaa teleNakutafuta we bibie
Hahahah yaan ww, siku nikipona utajua walah.Mimi?
Akhuuu!
Uje uchukue juice yakokwa mangi hapa
shwariiWaungwana wazee wa likes
Habarini ya leo
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine