Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo umesema wengi mno. Ndo maana nimeona kama malalamiko tu sababu charity begins at home. Chapa likes kisha lalamika inakua poa sio mtu analalamika kuna post haina hata like reeaally yaan badala ya kuichapa like moja ndio msemo uje wa post ina like moja tu.

Huwa nashukuru hata nikipata moja si mbaya.
Numbisa bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tapatalk_1505736037086.jpeg
 
Enzi hizo nilikuwa mwana statistics kwenye uzi huu, ila siku hizi nimetekwa na Siasa hadi najeruhiwa na BAN mchana kweupe
Tena uje utupe statistics kamili za uzi huu. Kwema mkuu?

Siasa kule hasa hapa katikati kumekuwa na mihemko sana yaani mapovu balaa kidogo tu usipokuwa sawa unalimwa ban. Na mods yaani hawachezi kabisaaaa...
 
Back
Top Bottom