Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Maarifa kidogo huamsha udadidisi
Ndiyo maana ana kasi ya 4G kwenye harakati zake za uvamizi wa mazizi[emoji3] [emoji3]Anajua mambo ya zamani tena deep kabisa. Si ajabu mhenga mwenzetu huyu anatuzuga tu. Hata mi nshaanza kumshtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa subiri akija hapa kelele zake duh !!!