Enzi hizo ilikuwa huwezi kusafiri shy-mwanza kwenda na kurudi hahhahaYani zile zama ambazo ili ufike Mwanza lazima upitie Nairobi. Arusha Namanga, Nairobi, Sirali Musoma, Mwanza.
Nafuu ipo kidogo shemeji.Hi nsamaka unaendeleaje
Salama mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa zama niaje
Achana nae huyo, wivu tu unamsumbua.Jamani hata kusabahi, tusisabahi? Hujambo lakini weye? Tunamtakia speedy recovery nsamaka jamani! [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaendeleaje mama?Hi guys, miss you all.
asante sana shemejiPole sana Mwenye Enzi Mungu aendelee kukupa ulinzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]If JONAH (in bible ) was a Luo., After being swallowed by a fish ; he wud remove his iPhone and call Otieno, ''Omera tayarisa ugali, nko ndani ya mboga'' [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA17:14