carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shikamoo babu-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo