mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kahanga hakoHahahaa anajisahau halafu anasingizia kasoma kwenye history
Kahanga hakoHahahaa anajisahau halafu anasingizia kasoma kwenye history
Kahanga hakoHahahaa anajisahau halafu anasingizia kasoma kwenye history
Ambapo kuupanda mlima mamba kutoka Lindi kwa siku mbili mnashangilia...Yani naongelea zile zama ambazo usafiri pekee wa kuaminika kwenda Mtwara ni meli tu. vinginevyo uwe tayari kusafiri kwa wiki nzima kupitia baranara. Dar, Muhoro, Somanga, mnazi mmoja, Mtwara
Hila falsafa ya mpira anaijuaJamaa anapigaga suti kali sana
Hila falsafa ya mpira anaijuaJamaa anapigaga suti kali sana
Tumetoka mbali sanaAmbapo kuupanda mlima mamba kutoka Lindi kwa siku mbili mnashangilia...
Ajabu ni kukaa kivukoni Rufiji kwa siku nne huku abiria wakipungua idadi kwa kuliwa na mamba
Mzee wa chuga
[emoji87] [emoji87]Achana nae huyo, wivu tu unamsumbua.
Poa mkuuNiaje
Tupo mkuuMpo aise ..
AMUN RAAMUN RA