Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-18-20-14-20.png
 
Wazee wa zama Karibuni tukumbushane ili angalau watu wasiojulikana wajifunze kitu
-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Yani zile zama ambazo ili ufike Mwanza lazima upitie Nairobi. Arusha Namanga, Nairobi, Sirali Musoma, Mwanza.
Na ili ufike Bukoba ilikuwa lazima upitie Namanga, N'bi, Naivasha, Nakuru/Kisumu/Eldoret,Bungoma,Busia na ndio uitafute Jinja kwa ajili ya K'la halafu huyoo Masaka kuiona Mutukula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom