moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Yani naongelea zile zama ambazo usafiri pekee wa kuaminika kwenda Mtwara ni meli tu. vinginevyo uwe tayari kusafiri kwa wiki nzima kupitia baranara. Dar, Muhoro, Somanga, mnazi mmoja, Mtwara
Yani naongelea zile zama ambazo usafiri pekee wa kuaminika kwenda Mtwara ni meli tu. vinginevyo uwe tayari kusafiri kwa wiki nzima kupitia baranara. Dar, Muhoro, Somanga, mnazi mmoja, Mtwara
Zama za kupanda chai maharageYani zile zama ambazo ili ufike Mwanza lazima upitie Nairobi. Arusha Namanga, Nairobi, Sirali Musoma, Mwanza.
Ka Bob12 kanakumbukwa sana, ila maumivu yake sasa...Nikisikia habari za Wenger namkumbuka Bob wapi jamani huko Mogadishu ajafika tu
Zama za Empire cinemaZilikua zama za machozi na jasho .
Sometimes people say things that they don't mean. Unaenda TuSasa hapo unaenda kufanya nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zama hizo zilinikuta nilikuwa nakwenda lindi mbona kurudi nilipanda meliYani naongelea zile zama ambazo usafiri pekee wa kuaminika kwenda Mtwara ni meli tu. vinginevyo uwe tayari kusafiri kwa wiki nzima kupitia baranara. Dar, Muhoro, Somanga, mnazi mmoja, Mtwara
Zama za Empress cinemaKwakweli zama zile si zama hizi
My princess unaendeleaje jamaniEeeh kweli jamani Bob aka baba viv.