ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Diblo Dibala
Yego ametani eitini jana mbona?!!!Andaetini [emoji3] [emoji3] Ni Andaeitini wa miaka ileee. Nilichoka aliponikumbusha kitu furani hapa kitumbini DSM wakati kilitokea 1984. enzi za skuli[emoji3] [emoji3] jamaa ni muhenga[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna namna ndio jinsi ya kumtumia[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hizi ni zama muhengaHahaha kwa mara ya kwanza nilifaulu kwenda advance enzi hizo shule za serikali zilikuwa bado zia hadhi kubwa nilisfiri kwa gari moshi. Dah halafu nikafika usiku balaa yaan sitasahau,ila watu walikuwa bado wana utu those days. Baada ya kufika stesheni niliowakuta walinipeleka hadi shule na vifaa vyangu.
kubaki umbwira wakondya yegochikakaWakondya kusima msubhati!
Madhara ya vita yalitutafuna sana.Enzi hizo ilikuwa huwezi kusafiri shy-mwanza kwenda na kurudi hahhaha
Zama za kutumia warrant [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha kwa mara ya kwanza nilifaulu kwenda advance enzi hizo shule za serikali zilikuwa bado zia hadhi kubwa nilisfiri kwa gari moshi. Dah halafu nikafika usiku balaa yaan sitasahau,ila watu walikuwa bado wana utu those days. Baada ya kufika stesheni niliowakuta walinipeleka hadi shule na vifaa vyangu.
Thanks kwa maendeleo hayoNafuu ipo kidogo shemeji.
Fabio Kapelo
Mkuu upo Habari za TukuyuSalama mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AMUN RAasante sana shemeji
Si yeye tu, hata mimi sijapenda[emoji3] [emoji3]Achana nae huyo, wivu tu unamsumbua.
Mkuu vipibggyvhg
Wapi tena mkuu[emoji3] [emoji3] Andaeitini anataka kunizidi maarifa[emoji3] [emoji3]