mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ndo mkulima boraMchagua jembe
UfikeKawia
Team wanga[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi ni mweka hazina wao team popo
DuuhKazi kuitafuta
Kiatu chake bangiBaniani mbaya
Polepole
MhhhIkalie
Na panya wapoKwenye msafara wa mamba
Inadaiwa unatembelea mazizi yote mida ya wanga[emoji3] [emoji3]Ujumbe wa mtu mwingine, mara wewe huyoo ushaudakua! [emoji848][emoji848][emoji848]
UzembeUmoja ni nguvu utengano
Tupo mkuuWahenga wa zama mpo?
Kinaua chawaKidole kimoja
Kwa supu ya pweza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anakula wali na mboga