Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huu msemo primary kuna mwalimu alikua anautumia kudaka visichanMficha uchi
Huu msemo primary kuna mwalimu alikua anautumia kudaka visichanMficha uchi
Au hile ya Scorpion
Mtoto wa mwenzio
Maisha ni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuhusu
Mzee wa zama, ingawa siyo zamani sana-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo
Aijuae mwenye nyumbaAdhabu ya kaburi
Chanda chema uvikwa