mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha dah mbavu zanguUjue kaisoma namba vizuri
Pamoja mkuu usihofuMzee wa liver natambua uwepo wako, nipo umbali mrefu
Super mama, mtaalamu wa kinanda toka ZenjibariAsia Daruwesh
Zizi gani mzee wa Pwani la kwangu mimi aliwezi vamiwa mileleHiyo ni baada kubaini uvamizi wa zizi[emoji3] [emoji3]
Hakuna lisilo na mwisho MkuuNilikuwa nakuchokoza tu mkuu; na kama nilivyotegemea ushafyatuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117][emoji117]Na kama kujipanga hakusaidii cho chote kwa vile uchaguzi si huru na wa haki, suluhisho lake ni nini sasa? Kulalamika tu hivi na kutukana mpaka lini? What next?
Meno nje kwa furaha, chezea uzi wewe[emoji3] [emoji3]