BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kujipanga hakusaidii lolote wakati uchaguzi si huru na wa haki. Na huyo dhalimu au CCM hawana miliki ya Tanzania hivyo ni haki ya Watanzania kulalamika dhidi ya utawala wa hovyo ambao hata walio ndani ya CCM pia wanalalamika na wengine waliwahi kushika nafasi za juu ndani ya Serikali na CCM. Hivyo wewe huna haki yoyote ya kuzuia malalamiko na matusi ya huyo dhalimu ambaye yeye pia anatumia matusi.
2020 siyo mbali. Jipangeni vizuri. Kulalamika na kutukana tu haisaidii cho chote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]