Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.Ni nyoka mwenye hasira sana na mwenye uwezo wa kuuma ndani ya sekunde chache pale tu anapo hisi kuna hatari.

5.Koboko weusi wana rangi ya kijivu au wakati mwingine rangi ya kahawia nah ii hutokana na mazingira anayoishi ndio huendana na rangi ya mwili ili kumfanya asionekane kwa urahisi zaidi.



6.Anapo kuwa anakimbia au kupata hasira, nyoka huyu ana uwezo wa kuinua moja ya tatu ( 1/3 ) ya mwili wake. Hii inashangaza sana hasa unapo muangalia unaweza ukasema kuna kitu kina mwinua nyoka huyu ila kumbe ni uwezo wake tu.
Ana uwezo wa kutambua ujio wako umbali wa mitaa kadhaa toka kwenye territory yake kabla hajakuona, pia ana sifa kuu ya kukuona kabla hujamuona na kubaini kama umekuja kwa Shari au kwa amani. ni nyoka mwenye sens ya hali juu
 
Back
Top Bottom