Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpaka kieleweke uchokozi kwenye mambo ya tija la Taifa letu hauna maana yoyote. Kwani Watanzania ndiyo wa kwanza kulalamikia uongozi wa nchi yao? Kulalamika hakuna ukomo mpaka wapate wakitakacho na hii inatokea nchi zote duniani na wewe huna haki yoyote ya kuzuia kulalamikia malalamiko hayo. Pita kimya kimya.

Nilikuwa nakuchokoza tu mkuu; na kama nilivyotegemea ushafyatuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117][emoji117][emoji117]Na kama kujipanga hakusaidii cho chote kwa vile uchaguzi si huru na wa haki, suluhisho lake ni nini sasa? Kulalamika tu hivi na kutukana mpaka lini? What next? Kwenda msituni ama?
 
Back
Top Bottom