moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] mia miaUanaharakati haufai humu,
Kila mtu anahitaji kupumzika akiwa hapa.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] mia miaUanaharakati haufai humu,
Kila mtu anahitaji kupumzika akiwa hapa.
Huyu dogo ni shida. Hata sasa sijaamini. Si ajabu huko kaliko kanapanga mikakati mipya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, mkuu ulikuwa unaishi chini ya kitisho cha dogo janja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] teh teh teh[emoji3] [emoji3] cheeeeka. duu!! Yegomasika hataacha mtu salama wallah
Aisee. Kwa hiyo akaenda kupata ujuzi kutoka Somalia - as in Black Hawk Down? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anavizia mazizi kwa visingizio vya kutafutiwa mchumba, akakutana na mikwara ya kutekwa, akaona isiwe tabu bora naye ajipange kwa mbinu zilezile[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hili nalo neno !!!Endelea kuwaza tu ukiamka nawe utakuta baba...kabebwa. Usifikiri mazizi yanavunjwa na wanaume pekee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sauti yake kama yako, halafu numbisa anasema ni kidume cha mbegu na amethibisha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ohooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti imefanyaje
Ni kweli hiki chama hukijui au unatania. 2020 tutamsimamisha Rungwe na Staa mmoja wa kike anayekiwakilisha chama vizuri kimaumbile !!![emoji3] [emoji3] [emoji3] duu, kuna vyama vingi hapa. Ni chama gani hicho? Au mna mpango wa kusimamisha mgombea 2020