Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Likes kama kawa
Zishapita !!!Zama za yegomasika
Kitimoto kinaangukia upande gani hapa?USHAURI
Punguza ulaji wa nyama nyekundu kama vile nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo na badala yake kula nyama ya kuku. Kula zaidi kuku wa kienyeji na wapike au wachome ili wasiwe na mafuta mengi. Kwa kuku wa kisasa hakikisha hauvunji na kutafuna mifupa yao maana mabaki mengi ya dawa huachwa huko, utakuwa unakula na dawa zilizotumika kuwakuzia na kuwatibia.